Akafa Hadadi. Na hawa ndio majumbe wa Edomu; jumbe Timna, na jumbe Alva, na jumbe Yethethi;
na jumbe Oholibama, na jumbe Ela, na jumbe Pinoni;
na jumbe Kenazi, na jumbe Temani, na jumbe Mibsari;
na jumbe Magdieli, na jumbe Iramu. Hao ndio majumbe wa Edomu.